MANGE KIMAMBI AMBAYE AMEKUWA MAARUFU HAPA TANZANIA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII NI KUTOKANA NA KUJIINGIZA KATIKA UGOMVI NA WATU MBALIMBALI AMBAO WENGI WAO NI MAARUFU KWA KUWADHALILISHA MITANDAONI.
PIA KWA SASA AMEJIKITA KUPINGA KILA JAMBO LINALO FANYWA NA SERIKALI YA MH.RAIS MAGUFULI AMBAPO WAKATI WA KAMPENI ZA KUWANIA URAIS ALIKUWA NI MPINZANI KUBWA WA NDUGU LOWASSA KWA KUMFANYIA VITUKO VYA KILA AINA MPAKA KAMPENI ZILIPO KWISHA NA KUAMUA KUIGEUKA CCM NA KUANZA KUISHAMBULIA KWA NGUVU ZAKE ZOTE KUPITIA MITANDAO YA JAMII
KUTOKANA NA TABIA ZAKE ZA HAPA NA PALE MUME WAKE AMBAYE NI MZUNGU PIA WASHAZAA WATOTO AMEAMUA KUACHANA NAYE NA KUMNYANG’ANYA GALI NA VITU VINGINE PIA KUAMUA KUHAMA KATIKA NYUMBA YA AWALI ALIYO KUWA KAPANGA NA KUHAMIA KWINGINE AMBAKO KWA SASA ANAKAA NA MDADA WA KIZIMBABWE AMBAYE NDIYO KACHUKUA NAFASI YA MANGE KIMAMBI.
MUMEWE ALIYE MUACHA MANGE AKIWA NA MTOTO WALIYE ZAA NA MANGE
ENZI HIZO MANGE KABLA YA KUACHIKA WAKILA BATA
HAPA ALIYEKUWA MUME WA MANGE AKIWA NA MPENZI WAKE MPYA TOKA ZIMBABWE
PICHA ZIKIONYESHA ALIYE KUWA MUME WA MANGE HAPA AKISTAREHE NA MPENZI WAKE MPYA TOKA ZIMBABWE BAADA YA KUMBWAGA MANGE KIMAMBI
No comments:
Post a Comment